Charles Venny

Windows 10: Kuna Nini Microsoft Hawatuambii na Kwanini Inashida Sana?

Informações:

Sinopsis

Watumiaji wengi wa Windows 10 wamekutana na errors zilizopelekea wao kushindwa kufanya kazi. Mara nyingi hii inatokea baada ya kufanya update na kusalimiwa na BSOD (Blue Screen of Death). Kuna nini Microsoft wameshindwa kuboresha kwenye Windows 10 mpaka inakuwa hivi?