Gurudumu La Uchumi

Athari za uchumi na biashara kwenye mji wa Kalemie nchini DRC

Informações:

Sinopsis

Msikilizaji juma hili katika makala ya Gurudumu la uchumi nakuletea mseto wa taarifa za uchumi na biashara toka kwenye kanda ya Afrika Mashariki, katika Makala ya leo mwenzangu victor Abuso, alizungumza na Christian Yoka, mkurugenzi wa shirika la maendeleo la Ufaransa, AFD kanda ya Afrika, lakini pia mwandishi wetu wa Lubumbashi, Denise Mayoo, alizuru mji wa Kalemie nchini DRC ulioathirika pakubwa na mafuriko, ambako shughuli za biashara na uchimi zimeathiriwa pakubwa.