Jua Haki Zako
Kenya :Madaktari watishia kugoma tena tarehe 22 Disemba
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:10:02
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Wahudumu wa afya nchini Kenya wanaitaka serikali kuwatuma kazini wanafunzi na wahudumu wa afya mara moja na kufuta malimbikizo ya mishahara ya madaktari kulingana na Makubaliano ya Pamoja ya 2017. Wahudumu wa afya ambao wamehudumu kwa miaka minne chini ya kandarasi katika taasisi za afya ya umma wanadai ajira ya kudumu ambayo walikuwa wamehakikishiwa na serikali ya Kenya kufuatia miaka mitatu ya huduma.