Gurudumu La Uchumi

Akina mama jimbo la Migori nchini Kenya wanzisha kiwanda cha kuchakata samaki

Informações:

Sinopsis

 Makala haya yanazungumzia hatua za  wanawake na wasichana katika eneo la Opapo, Kaunti ya Migori nchini Kenya, kwa msaada wa mashirika yasiyo ya kiserikali  na serikali ya kaunti, wameanzisha kiwanda  cha kuchakata samaki, kuboresha biashara ya samaki, na kuongeza thamani kwa kutengeneza bidhaa kama soseji na baga,hivyo kuinua uchumi