Changu Chako, Chako Changu
Historia ya kabila la Wamasai ,Sanaa ya Uchoraji na Historia ya Muziki wake Burna Boy
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:20:04
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Makala ya changu chako ,chako changu,hii leo utaskia historia ya kabila la wamasai wanaopatikana AFrika hasaa kenya na Tanzania,kisha kwenye kipengele cha pili utaskia maonyesho ya Sanaa ya uchoraji yanayoendelea katika ukumbi wa Alliance Francaise na mwisho kabisaa katika kipengele cha muziki makala haya yataangazia historia yake mwanamuziki kwa jina Burna Boy kutokea Nigeria .