Sinopsis
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Episodios
-
Burundani ya Muziki juma hili na Ali Bilali
09/06/2023 Duración: 10minMakala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali
-
Rhumba ndani ya makala Muziki Ijumaa
28/05/2023 Duración: 12minKila Ijuma rfi Kiswahili inakupa nafasi ya kipekee kuskiza vibao moto moto ndani ya Makala Muziki ijumaa. Katika Makala haya Utaskia vibao moto kutoka kwa wasanii wakale kama vile Madilu System, hadi wa sasa kama vile Hermonize kutoka Tanzania. Kwa uhondo zaidi skiza makala.
-
Burudani moto moto ndani ya muziki ijumaa
19/05/2023 Duración: 10minKaribu kuungana na mtangazaji wako Reuben Lukumbuka katika muziki ijumaa, anaungana na wasikilizaji kutoka kila kona wiki hii
-
Burudani Murua ndani ya Muziki Ijumaa
28/04/2023 Duración: 10minKaribu kuungana na mtangazaji wetu Florence Kiwuwa anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya Aprili 28 2023