Sbs Swahili - Sbs Swahili

Utofauti waleta sauti mpya

Informações:

Sinopsis

Hip hop na muziki wa Drill imekuwa maarufu katika miaka ya hivi karibuni nchini Australia na, wasanii nchini watashiriki katika tamasha itakayo andaliwa katika kitongoji cha Sydney chenye tamaduni nyingi cha Parramatta.