Sbs Swahili - Sbs Swahili

Moise: "Tunataka walio uwa ndugu zetu Gatumba wachukuliwe hatua zakisheria"

Informações:

Sinopsis

Agosti 13 ni siku ya majonzi yasiyo elezeka, kwa jamii ya wanyamulenge kote duniani.