Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 116:13:51
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Taarifa ya Habari 21 Agosti 2022
21/08/2022 Duración: 16minBaadhi ya mashirika yanayo toa huduma za ajira nchini Australia kwa walemavu kufungwa.
-
SBS Swahili Mubashara 16 Agosti 2022
18/08/2022 Duración: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Je! nini kitafuata baada ya Raila kushindwa tena katika uchaguzi mkuu?
18/08/2022 Duración: 22minKinara wa mrengo wa Azimio One Kenya Raila Odinga, amewania urais mara tano bila mafanikio.
-
Jinsi yakupata msaada mpendwa wako anapokuwa na uraibu wa kamari
17/08/2022 Duración: 12minHakuna tiba kwa suala la uraibu wa kucheza kamari.
-
Taarifa ya Habari 16 Agosti 2022
16/08/2022 Duración: 17minTaarifa za waziri mkuu wa zamani kujiapisha kuwa waziri wa wizara kadhaa, zaendelea kuzua rabsha zakisiasa mjini Canberra.
-
Wakenya wasifu uwazi wa uchaguzi mkuu
15/08/2022 Duración: 10minNi nadra kwa tume ya uchaguzi ya Kenya, kusifiwa kwa jinsi ilivyo simamia uchaguzi mkuu.
-
Chris: "Matokeo yote ya uchaguzi hubandikwa kwenye milango ya vituo vyakupigia kura"
15/08/2022 Duración: 08minWakenya kote duniani, wame elezea hisia zao zakuto ridhishwa na kasi yamatangazo ya matokeo ya uchaguzi wa urais.
-
Moise: "Tunataka walio uwa ndugu zetu Gatumba wachukuliwe hatua zakisheria"
15/08/2022 Duración: 07minAgosti 13 ni siku ya majonzi yasiyo elezeka, kwa jamii ya wanyamulenge kote duniani.
-
Patrick: "Hata nikifa kesho, watu wengine watajua niliyo pitia kupitia' Survivors Uncensored"
15/08/2022 Duración: 11minWatu wengi barani Afrika, wanao toa kauli ambazo ni kinyume ya kauli rasmi ya mamlaka hujipata kwenye hali ngumu.
-
Delphin "Nchi za Afrika Mashariki zinaweza jifunza mengi kupitia yaliyo tokea Rwanda?
15/08/2022 Duración: 10minKanda ya Afrika Mashariki ime kuwa na utulivu kwa muda mrefu, ila mivutano kati ya viongozi imekuwa ikitishia utulivu huo.
-
Taarifa ya Habari 14 Agosti 2022
14/08/2022 Duración: 18minKaimu waziri mkuu Richard Marles amesisitiza kuwa bado kuna uwezekano wakuboresha mahusiano na China, licha ya ongezeko ya mivutano katika kanda hilo kwa sababu ya Taiwan.
-
SBS Swahili Mubashara 9 Agosti 2022
11/08/2022 Duración: 52minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Je! IEBC itakomboa sifa yake baada ya utata ilio zua katika uchaguzi mkuu wa 2017 wa Kenya?
11/08/2022 Duración: 11minTume huru ya uchaguzi wa Kenya IEBC, kwa mara nyingine inasimamia uchaguzi mkuu miaka mitano baada ya uchaguzi mkuu wa 2017 ulio paka tume hilo tope lakuganda.
-
Wawakilishi wa wanasiasa wa Kenya, waelezea imani yao kwa ushindi
11/08/2022 Duración: 15minHesabu za kura zilizo pigwa zina endelea nchini Kenya, ambako matokeo yake yanasubiriwa kwa hamu nama milioni ya watu.
-
Bill "Manchester Utd ni sehemu ya utambulisho wangu"
10/08/2022 Duración: 08minWatu wengi wenye asili ya Afrika wana mapenzi ya dhati kwa mchezo wa mpira wa miguu.
-
Jinsi mizio inavyo dhibitiwa katika shule za Australia
09/08/2022 Duración: 09minAustralia ina moja ya viwango vya juu zaidi vya mzio wa chakula duniani.
-
Taarifa ya Habari 9 Agosti 2022
09/08/2022 Duración: 15minWiki mbili baada yakujiuzulu, aliyekuwa naibu kiongozi wa New South Wales aendelea kukabiliwa kwa maswali, kuhusu alivyo teuliwa kuwa mjumbe wa biashara wa jimbo la NSWmjini New York
-
Patrick: "Majirani waliniambia jinsi watu walikufa, na niliona nyumba za familia yangu zilizo bomolewa"
09/08/2022 Duración: 08minWanachama wa jamii yawanyarwanda wame chapisha kitabu kwa jina la Survivors Uncensored, chenye zaidi ya hadithi 100 kuhusu waliyo shuhudia wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994.
-
Wanasia wame uza sera, kazi sasa kwa raia debeni
08/08/2022 Duración: 07minHatimae kampeni za uchaguzi mkuu wa Kenya zilizo dumu kwa muda mrefu zaidi katika historia zime isha.
-
Utata waendelea kukumba uhusiano kati ya Australia na China
07/08/2022 Duración: 06minIkulu ya Marekani imekosoa ongezeko la mazoezi yakijeshi ya China katika maeneo yanayo zingira Taiwan, kama tendo laki chochezi na lisilo na uwajibikaji.