Informações:
Sinopsis
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
Episodios
-
Muendelezo wa ugonjwa wa Kisukari nchini Kenya na Sudan Kusini
05/01/2024 Duración: 09minNchi zinazoendelea zinashuhudia ongezeko la magonjwa yasiyoambukizwa ukiwemo Kisukari
-
Wadau wa afya wapaza sauti kuhusu ongezeko la magonjwa tengwa wakionya ni tishio katika mifumo ya afya
22/12/2023 Duración: 10minWadau katika sekta ya afya wana wasi wasi kuhusu ongezeko la magonjwa yaliyotengwa ambayo mengi yao hayana tiba au matibabu yao hayapatikani kwa urahisi au ni bei juu Wawekezaji katika sekta ya uzalishaji dawa ,chanjo hawavutiwi kuzitengeneza dawa za magonjwa hayo. Magonjwa hayo ni kama vile ugonjwa wa malale,matende ,Chikukungunya na Dengue.