Sbs Swahili - Sbs Swahili

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

 • Mpaka kati ya majimbo ya New South Wales na Victoria wafunguliwa baada ya miezi tano

  Mpaka kati ya majimbo ya New South Wales na Victoria wafunguliwa baada ya miezi tano

  24/11/2020 Duración: 08min

  Maelfu yawa Australia wame tumia anga au barabara, baada ya mpaka kati ya jimbo la New South Wales na Victoria kufunguliwa tena, baada ya takriban miezi mitano au siku 137.

 • Taarifa ya habari 24 Novemba 2020

  Taarifa ya habari 24 Novemba 2020

  24/11/2020 Duración: 15min

  Serikali ya shirikisho kuwapa kipaumbele wafanyakazi wa afya na wazee, katika utoaji wa chanjo ya coronavirus.

 • Mipangilio yaku rahisisha kazi

  Mipangilio yaku rahisisha kazi

  24/11/2020 Duración: 10min

  Janga la COVID-19 lime lazimisha biashara nyingi kufanya tathmini, kutengeza upya nakurekebisha jinsi zinavyo fanya kazi.

 • Vizuizi vya lugha vya vyunjwa kwa ajili yakukabiliana na COVID

  Vizuizi vya lugha vya vyunjwa kwa ajili yakukabiliana na COVID

  23/11/2020 Duración: 08min

  App mpya ambayo ime undwa kwa lengo lakuvunja vizuizi vya lugha wakati wa uchunguzi wa COVID nakutoa taarifa, ina zinduliwa nchini Australia kabla itumiwe ng’ambo.

 • Taarifa ya habari 22 Novemba 2020

  Taarifa ya habari 22 Novemba 2020

  22/11/2020 Duración: 15min

  Hatimae mpaka kati ya majimbo ya New South Wales na Victoria kufunguliwa, na kiongozi wa upinzani wa Magharibi Australia, ajiuzulu kabla ya uchaguzi jimboni humo.

 • Vikundi vya huduma ya afya ya akili, vyakaribisha ahadi mpya kutoka serikali

  Vikundi vya huduma ya afya ya akili, vyakaribisha ahadi mpya kutoka serikali

  18/11/2020 Duración: 06min

  Makundi yanayo toa misaada ya afya ya akili yamekaribisha ahadi ya serikali ya shirikisho, kuweka kipaumbele kwa jitahada zakuzuia nakuingilia kati mapema visa vya unyogovu na kujiua.

 • Kenya yarejea katika kombe la Afrika, jijini Sydney kwa kishindo

  Kenya yarejea katika kombe la Afrika, jijini Sydney kwa kishindo

  17/11/2020 Duración: 10min

  Timu ya mpira wa miguu ya jamii ya wakenya wanao ishi Sydney, Australia, imekuwa ikijiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kwa muda wa miaka miwili.

 • Taarifa ya habari 17 Novemba 2020

  Taarifa ya habari 17 Novemba 2020

  17/11/2020 Duración: 15min

  Chama cha upinzani cha elezea wasi wasi, kuhusu serikali kujaribu kukwepa kuwajibika kwa mfumo tata wakudai madeni.

 • Australia yajiunga katika mkataba mkubwa wa biashara duniani

  Australia yajiunga katika mkataba mkubwa wa biashara duniani

  16/11/2020 Duración: 07min

  Australia imetia saini mkataba mkubwa sana wa biashara, ambao umechukua miaka minane kuafiki, nakushirikisha nchi 14 kutoka kanda ya Asia-Pacific.

 • Taarifa ya habari 15 Novemba 2020

  Taarifa ya habari 15 Novemba 2020

  15/11/2020 Duración: 17min

  Serikali ya Victoria yatengeza historia kupitia uwekezaji mkubwa katika nyumba za jamii.

 • Douglas: Usalama wa mitandao ume imarishwa sana kwa uchaguzi wa 2020 wa Marekani

  Douglas: "Usalama wa mitandao ume imarishwa sana kwa uchaguzi wa 2020 wa Marekani"

  13/11/2020 Duración: 13min

  Kampeni za uchaguzi duniani kote zimechukua mifumo tofauti kuwavutia na kuwashawili wapiga kura. 

 • Wanafunzi wakimataifa wapata ushindi mahakamani dhidi yaku fukuzwa katika nyumba zao

  Wanafunzi wakimataifa wapata ushindi mahakamani dhidi yaku fukuzwa katika nyumba zao

  11/11/2020 Duración: 07min

  Wanafunzi wakimataifa wanao kabiliwa na tisho lakufuzwa wanako ishi, wame pata ushindi wakisheria mjini Melbourne, baada yakuthibitisha changamoto wanazo kabili zakifedha zimesababishwa na COVID-19.

 • Rosemary Kariuki ashinda tuzo ya shujaa wa jamii jimboni New South Wales

  Rosemary Kariuki ashinda tuzo ya shujaa wa jamii jimboni New South Wales

  10/11/2020 Duración: 10min

  Jamii yawa Afrika jimboni New South Wales inasherehekea kutambuliwa kwa mchango wa balozi wao Rosemary Kariuki, katika tuzo za New South Wales Australian of the Year.

 • Taarifa ya habari 10 Novemba 2020

  Taarifa ya habari 10 Novemba 2020

  10/11/2020 Duración: 15min

  Kuna uwezekano chanjo ya coronavirus inaweza anza kutolewa, kwa watu ambao wako katika hatari zaidi kuanzia machi 2021.

 • D R Congo yawalisha fimbo vijana wa Farao

  D R Congo yawalisha fimbo vijana wa Farao

  09/11/2020 Duración: 05min

  Mechi za kwanza za kombe la Afrika zime anza naku kamilika kwa kishindo katika viwanja vya mazoezi vya Western Sydney Wanderers mjini Rooty Hill, New South Wales, Australia.

 • Tanzania yapata taabu katika kombe la Afrika jijini Sydney

  Tanzania yapata taabu katika kombe la Afrika jijini Sydney

  08/11/2020 Duración: 11min

  Michuano ya kombe ya Afrika jijini Sydney, ilianza kwa kasi na vichapo katika viwanja vya mazoezi vya Western Sydney Wanderers.

 • Taarifa ya habari 8 Novemba 2020

  Taarifa ya habari 8 Novemba 2020

  08/11/2020 Duración: 15min

  Biashara jimboni Victoria zakaribisha kuondolewa kwa vizuizi, pamoja nakufutwa kwa kikomo cha kilomita 25 za usafiri.

 • Clement Hatumuachi farao salama leo

  Clement "Hatumuachi farao salama leo"

  07/11/2020 Duración: 08min

  Vijana kutoka jamii ya D R Congo wanaingia dimbani leo dhidi ya Misri, katika mechi yao ya kwanza ya kombe la Afrika jijini Sydney, Australia.

 • Kenya kushuriki katika kombe la Afrika mjini Sydney kwa mara ya kwanza

  Kenya kushuriki katika kombe la Afrika mjini Sydney kwa mara ya kwanza

  06/11/2020 Duración: 06min

  Jamii zenye asili ya Afrika zimekuwa ziki shiriki katika michuano ya soka, ya kombe la Afrika kwa miaka mingi mjini Sydney, Australia.

 • Sasa Care yakubali kuwa mdhamini wa kombe la Afrika jijini Sydney, New South Wales

  Sasa Care yakubali kuwa mdhamini wa kombe la Afrika jijini Sydney, New South Wales

  05/11/2020 Duración: 06min

  Janga la COVID-19 lime athiri bajeti ya kampuni nyingi ambazo hudhamini, matukio mbali mbali katika jamii. 

página 1 de 20

Informações: